Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma anawataka wapangaji wanyumba za Halmashauri, Vyumba/Vibanda vya biashara na watumiaji wa maeneo ya wazi kulipa pango la upangaji kabla ya tarehe 01/07/2017.
Kwa maelezo zaidi soma hapa: Malipo ya PANGO (Nyumba, Vyumba, Vibanda na Maeneo ya Wazi).pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.