Monday 1st, March 2021
@Ikulu ya Chamwino, Dodoma
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, anatarajia kuwaapisha Mawaziri wateule aliowateua tarehe 05 Disemba, 2020,
Sherehe za kuapishwa kwa Mawaziri wateule hao zitafanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
3 CDA Street
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.