• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Kuagwa rasmi kitaifa kwa Hayati, Dkt. John Pombe Magufuli

Saturday 10th, April 2021
@Uwanja wa Jamhuri

MSEMAJI Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amefanya mkutano na kuwaeleza waandishi wa Habari kuhusu ujio wa viongozi wa mataifa mbalimbali kushiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Machi 22, 2021 Jijini Dodoma.

Takribani Marais 10 wanatarajiwa kuhudhuria maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli yatakayofanyika kesho (Machi 22, 2021) kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma.

Baadhi ya Marais ambao hawatohudhuria, wametuma wawakilishi wao.

Marais watakaohudhuria ni pamoja na Rais wa Kenya, Malawi, Commoro, Msumbiji, Zambia, Namibia, Botswana, Afrika Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Mataifa ambayo Marais watatuma wawakilishi wao ni Rwanda, Angola na Burundi.

Jumuiya 50 za Kimataifa na Kikanda zitatuma wawakilishi wao.

Aidha, Msemaji Mkuu huyo wa Serikali ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kumuaga mpendwa wetu aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kesho katika uwanja wa Jamhuri.

Matangazo

  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2021 - Awamu ya Pili February 19, 2021
  • Tangazo la Mnada wa Hadhara February 15, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Nne, cha Pili na Darasa la Nne 2020 haya hapa January 15, 2021
  • Zoezi la upandaji miti watumishi wote January 15, 2021
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rais Samia arejea Dar

    April 09, 2021
  • Skauti 130 wapatiwa mafunzo kupambana na majanga

    April 09, 2021
  • Jafo atoa miezi sita machinjio Kizota

    April 09, 2021
  • Rais Mwinyi aongoza dua kumbukumbu ya Karume

    April 08, 2021
  • Angalia zote

Video

Ni wajibu wa kila mmoja kutambua thamani na nafasi yake katika jamii
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.