Imewekwa tarehe: November 3rd, 2022
NAIBU Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kundo Andrea Mathew (Mb) ameyataka Mashirika ya Posta ya Jumuiya ya Afrika Mashariki kuchangamkia fursa za mabadiliko ya teknolojia...
Imewekwa tarehe: November 3rd, 2022
NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mwanaid Ali Khamis, amesema dhamira ya Serikali ni kuendelea na jitihada za kuwalinda watoto wa kitanzania na kuwaondoa wanaoishi...
Imewekwa tarehe: November 3rd, 2022
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Serikali imetenga shilingi Bilioni 10.7 kwa ajili ya kutekeleza Mpango Mkakati wa Tatu wa Kitaifa wa Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Yasiyoambukiza.
Dk...