Imewekwa tarehe: June 22nd, 2021
SERIKALI imesema mfumo wa Mita za Malipo Kabla ya Matumizi (LUKU) kwa wateja maji unatarajia kuanza mwezi ujao ambapo utasaidia kuondoa malalamiko ya wananchi kubambikiwa ankara za maji.
Hayo yamee...
Imewekwa tarehe: June 21st, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka amekutana na kufanya mazungumzo na Wafanyabiashara wakubwa Mkoani Dodoma kwa lengo la kupokea maoni yao kuhusu Mazingira ya ufanyaji biashara na uwekezaji katika M...
Imewekwa tarehe: June 20th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amerejea leo Jijini Dodoma akitokea Dar es Salaam.
Katika uwanja wa ndege, Mhe. Rais amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Ant...