Mheshimiwa Profesa Davis George Mwamfupe ni miongoni mwa Madiwani watatu walioteuliwa kwa mujibu wa sheria na Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene mapema mwaka 2017. Mheshimiwa Profesa Mwamfupe ni muhadhiri Mstaafu wa Chuo Kikuu cha UDOM na pia amefundisha vyuo vikuu mbalimbali nchini.
Kusoma wasifu wa Mstahiki Meya Profesa Davis G. Mwamfupe, Bofya hapa:-Wasifu wa Prof. Davis G Mwamfupe
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.