UTANGULIZI:
Kata ya Nala ni moja ya kata 41 zinazounda Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Kata hii ina mitaa 6.
MIPAKA:
Kata ya Nala kwa upande wa Magharibi imapakana na kata ya Chigongwe, upande wa Mashariki imepakana na kata ya Mnadani, upande wa Kusini imepakana na kata ya Zuzu na upanda wa Kaskazini imepakana na kata ya Mbalawala.
UONGOZI:
Diwani: Mhe. Bryceon ELIAH
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.