MKUTANO maalum wa Baraza la Madiwani kuhusu Bajeti uliofanyika leo tarehe 17 Februari, 2022 umepitisha bajeti ya Mapato na Matumizi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa Mwaka wa Fedha 2022-2023.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.