SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KATIZO LA UMEME - MKOA WA DODOMA
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake na wananchi kwa ujumla wa Mkoa wa DODOMA kuwa, kutakuwa na katizo la umeme katika laini ya CHAMWINO 33Kv kama ifuatavyo:
SIKU: Jumapili Tarehe 28.07.2019
MUDA: Saa 3:00 Asubuhi hadi Saa 10:00 Jioni.
SABABU: kuunga mteja mpya eneo la Makulu.
MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Duwasa, Takwimu, Benki kuu, Hazina, Takwimu, Ukumbi wa CCM, Bima ya afya, UDOM yote, Iyumbu, Kisasa, Ihumwa, Mji wa Serikari Ihumwa, na wilaya yote ya Chamwino
Tafadhali usishike wala kukanyaga waya uliokatika au kuanguka toa taarifa kupitia:
Dawati la dharura Mkoa wa Dodoma 0782161643 / 0262321728 au Kituo cha miito ya simu namba 2194400 au 0768 985 100.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na :
OFISI YA UHUSIANO NA HUDUMA KWA WATEJA
TANESCO– DODOMA
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.