Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma anapenda kuwatangazia waombaji wote wa nafasi za kazi za vibarua/Mkataba walioleta maombi yao kwa kada ya MTUNZA KUMBUKUMBU MSAIDIZI NA MADEREVA wafike kwaajili ya kufanya Usaili wa kuandika tarehe 15/10/2018 Siku ya Jumatatu saa mbili kamili (2.00) Asubuhi katika UKUMBI WA CHUO CHA MIPANGO.
Ili kuona TANGAZO na MAJINA ya wahusika bofya hapa: KUITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI LA DODOMA.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.