Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma anawatangazia waombaji walioomba nafasi ya kazi ya Katibu Mahsusi Daraja III na Dereva Daraja II kufika Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa ajili ya usaili utakaofanyika tarehe 20 - 21 Novemba, 2022 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Bofya hapa chini kuona Tangazo, Orodha ya Walioitwa kwa usaili wa Kada ya Katibu Mahsusi III na Dereva II.
Tangazo la Usaili: TANGAZO LA USAILI
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.