Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma anawatangazia walio kwenye orodha kufika kwenye usaili kada ya madereva kwenye Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma tarehe 21 Disemba, 2021 saa 2:00 asubuhi.
Kuona orodha, bofya hapa:ORODHA YA WAITWAO KWENYE USAILI KADA YA MADEREVA
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.