Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma anawatangazia usaili kwa waombaji walioomba nafasi ya Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II na Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II. Usaili utakaofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuanzia saa 2:00 asubuhi. Kwa ufafanuzi zaidi angalia Tangazo na Orodha hapa chini:
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.