Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Dodoma Mjini anawatangazia KUITWA KWENYE USAILI, TAREHE 13 - 14/10/2020 walioomba kazi ya usimamizi wa vituo vya kupigia kura na makarani waongozaji.
Kuona Tangazo bofya hapa: TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Kuona ORODHA bofya hapa: ORODHA YA MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.