Serikali kupitia kwa Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali anakaribisha maombi ya kazi ya Madereva watakaoajiriwa katika Ofisi tofauti Serikalini kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi za kazi 851.
Kwa maelezo na ufafanuzi zaidi, Bofya hapa: TANGAZO-LA-KAZI-YA-MADEREVA-21-MACHI2019.pdf
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.