Watumishi walio katika orodha hapa chini wanatakiwa kufika Idara ya Utawala na Utumishi Ofisi Kuu ya Halmashauri ya Jiji Chumba Namba 77 siku ya Jumatatu tarehe 17 Juni, 2019. Muda wa kufika ni kuanzia saa tatu (3) asubuhi wakiwa na Namba au Vitambulisho vyao vya Utaifa.
Kuona orodha bofya hapa: Orodha ya Majina
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.