Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma anawatangazia wafuatao kufika kwenye USAILI WA MAHOJIANO, utakaofanyika katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Dodoma tarehe 07 Machi, 2022 saa 2:00 asubuhi.
Watahiniwa wote wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi (original), kitambulisho cha NIDA, pamoja na simu janja.
Watumishi na wanachuo hawatahusika katika zoezi hilo.
Kuona tangazo na orodha kamili bofya hapa: ORODHA YA WANAOITWA KWENYE USAILI WA MAHOJIANO
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.