• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Tangazo la nafasi za ajira za Jeshi la Magereza kwa mwaka 2022

02 June 2022

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma anapenda kuwatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Dodoma kuwa amepokea barua yenye Kumb. Na. C.24/DO/1/110 ya tarehe 01/06/2022 kutoka kwa Mkuu wa Gereza Kuu Isanga ikisomwa sambamba na TANGAZO la tarehe 30/05/2022 toka kwa Kamishna Generali wa Magereza kuwa Serikali imetoa kibali cha Ajira za Jeshi la Magereza.

Hivyo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, anatangaza nafasi za ajira mbadala 1,241 za kujiunga na jeshi kwa Mwaka 2022. Jeshi litaajiri kwa kuzingatia vigezo vinavyohitajika kulingana na maelekezo ya Serikali, Hivyo waombaji wote wanaotaka kujiunga na Jeshi la Magereza wanatakiwa wawe na sifa zilizoainishwa hapa: TANGAZO NA SIFA ZILIZOAINISHWA

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za ajira za Jeshi la Magereza kwa mwaka 2022 June 02, 2022
  • Tangazo la nafasi za kazi Jiji la Dodoma May 27, 2022
  • Tangazo kuhusu zoezi la Anuani za Makazi na Postikodi April 30, 2022
  • Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2022 April 28, 2022
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Julai 7 Siku ya Kiswahili Duniani, Quatar yaalikwa

    June 23, 2022
  • Sumbawanga wafurahia elimu kutoka Dodoma Jiji

    June 22, 2022
  • Wete, Dodoma Jiji kukuza ushirikiano

    June 22, 2022
  • Mavunde aipongeza Mbeya kutenga mashamba makubwa ya kilimo cha soya

    June 20, 2022
  • Angalia zote

Video

Chang'ombe wampongeza Diwani wao, utatuzi kero za elimu, afya
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.