Friday 6th, December 2024
@
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma linatarajia kukutana Agosti 10 mwaka huu katika kikaio cha Kawaida cha kupokea na kujadili taarifa
mbalimbali za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha mwaka mzima wa fedha 2016/2017
Kikao kitafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Dodoma
Muda wa Kikao ni kuanzia saa 4;00 asubuhi na kuendelea.
Wananchi wote wanaalikwa kuhudhuria mkutano huo muhimu.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.