Wednesday 22nd, January 2025
@Bustani ya Mapumziko ya Chinangali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atawaongoza wananchi wa Dodoma na Viongozi mbalimbali katika Ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Kamishna wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania Mhe. Harold R. Nsekela aliyefariki tarehe 06/12/2020 jijini Dodoma baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Marehemu Jaji mstaafu Harold Nsekela alizaliwa tarehe 21 Oktoba, 1944.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.