Sunday 22nd, December 2024
@Makutupora (Veyula)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafal ya kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje wa Jiji la Dodoma.
Hafla hiyo itahudhuriwa pia na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, Dkt. Akinwumi Adesin, mwenye dhamana ya Ujenzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa (Mb), viongozi mbalimbali wa Dini, Serikali na vyama vya siasa.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.