Sunday 22nd, December 2024
@Ukumbi wa Mikutano wa St. Gaspar
Maadhimisho ya Wiki ya Maji Kitaifa mwaka huu yananyika jijini Dodoma kuanzia tarehe 18 hadi 22 Machi, 2019.
Maadhimisho haya yatajumuisha matukio mbali mbali ikiwemo:-
KAULIMBIU:
"Hakuna Atakayeachwa: Kuongeza Kasi ya Upatikanaji wa Huduma ya Majisafi na Usafi wa Mazingira kwa Wote katika dunia inayobadilika kitabia nchi"
WADAU WOTE MNAKARIBISHWA!
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.