Friday 6th, December 2024
@Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Timu ya Dodoma FC inayoongozwa na Halamshauri ya Jiji la Dodoma kesho itacheza mchezo wa kwanza wa ligi daraja la kwanza dhidi ya Reha FC ya Dar es Salaam
Mchezo utaanza saa 10:00 jioni katika uwanja wa Jamhuri.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.