Wednesday 22nd, January 2025
@Ofisi ya Mtendaji Kata ya Ntyuka
Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma anawatangazia wananchi wote wa Kata ya Ntyuka kuwa kutakuwa na Mkutano wa kusikiliza kero za wananchi wa Kata ya Ntyuka Mgeni Rasmi kwenye Mkutano huo atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.