Sunday 22nd, December 2024
@Uwanja wa Jamhuri
Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuapishwa rasmi Jijini Dodoma baada ya kushinda uchaguzi wa Urais katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 ambapo Dkt. Magufuli alishinda kwa kupata kura 12,516,252 sawa na asilimia 84.4 ya kura zote zilizopigwa.
Hii itakuwa mara ya kwanza nchini Rais kuapishwa nje ya Jiji la Dar es Salaam na kwa mara ya kwanza Rais kuapishwa Jijini Dodoma yalipo Makao Makuu ya nchi.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.