Sunday 22nd, December 2024
@Uwanja wa Nyerere Square
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatafanyika Nyerere Square jijini Dodoma ambapo maadhimisho haya yamebebwa na kauli mbiu isemayo "Wanawake katika uongozi, chachu ya kufikia Dunia yenye usawa"
Mgeni rasmi katika maadhimisho haya ni Mbunge wa Viti Maalum wa Dodoma Mhe. Fatma Tawfiq.
Tunatambua na kuthamini mchango wa viongozi wanawake katika maendeleo ya jiji la Dodoma.
WOTE MNAKARIBISHWA!
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.