Sunday 22nd, December 2024
@Bustani ya Mapumziko ya Chinangali
Usikose sherehe za ufunguzi rasmi wa mashindano ya mpira wa kikapu ya CRDB Bank Taifa Cup (12-21/11/2020) ambayo yatafunguliwa na Spika wa Bunge Mh.Job Yustino Ndugai. Sambamba nae kutakua na burudani kutoka kwa msanii Joh Makini aka "Mwamba wa Kaskazini" akifuatana na wasanii wengine wa mjini Dodoma.Usisahau michuano hii inashirikisha mikoa 24 na itaruka live kupitia @azamsports2CRDB Taifa Cup inakujia kwa ushirikiano na @tzbball @sanlamtanzania @coolbluetz @mayfairinsurancetanzania #NiZaidiyaGameNiMaisha
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.