Wednesday 22nd, January 2025
@Bustani ya Mapunziko Chinangali
Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Chanjo kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais - TAMISEMI pamoja na ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma imepanga kufanya uzinduzi wa utoaji chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.