Thursday 26th, December 2024
@Uwanja wa Jamhuri
Tamasha la michezo la kuhamasisha wananchi kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kitaifa limeanza jijini Dodoma kwa kushirikisha michezo mbalimbali ambayo inafanyika katika uwanja wa Jamhuri.
Kauli mbiu: "Tutembee pamoja katika kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza"
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.