Wednesday 22nd, January 2025
@Ofisi za Halmashauri ya Jiji la Dodoma
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanatarajiwa kuanza Juni 16, hadi Juni 23, 2019.
Halmashauri itaadhimisha wiki hii ya utumishi wa umma kwa kukutana na watumishi ili kusikiliza maoni na changamoto wanazokutana nazo kazini, kufanya shughuli za kijamii ikiwemo usafi wa mazingira katika maeneo ya huduma mbalimbali zinatolewa na Halmashauri.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.