Wednesday 22nd, January 2025
@Wilaya ya Dodoma
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa (Mb) atafanya ziara ya kikazi kutembelea Wilaya ya Dodoma Mjini ambapo pamoja na mambo mengine atapokea taarifa za Wilaya, kukagua shughuli za uzalishaji na ufundi, kutembelea hospitali ya mkoa, kukagua ujenzi wa Stendi Kuu ya mabasi na soko kuu, kukagua mradi wa maji na kisha kufanya mkutano wa hadhara.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.