Friday 6th, December 2024
@Matumbulu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa atatembelea Jiji la Dodoma kata ya Matumbulu ambapo atakagua mashamba na viwanda vya zabibu na kisha kuzungumza na wananchi.
Ratiba kamili ya ziara hiyo itaanzia Wilaya ya Chamwino kabla ya kumalizia wilayani Dodoma.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.