• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

TAMISEMI yaanza tathmini ya fedha za asilimia 10

Imewekwa tarehe: February 17th, 2022

OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) inafanya tathimini nchi nzima ili kuangalia namna bora ya matumizi ya fedha za asilimia 10 za halmashauri kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.

Haya yameelezwa Bungeni na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali, Mhe. Innocent Bashungwa wakati akitoa ufafanuzi kutokana na swali la nyongeza la Mbunge wa Vunjo, Charles Kimei.

Alisema tathimini ya awali inaonesha kuwa zaidi ya Sh bilioni 60 kila mwaka zinakusanywa na kutengwa kwenye halmashauri kwa ajili ya mikopo hiyo.

"Kwa hiyo tungependa kuona mabilioni haya yanakwenda kwenye vikundi yanaleta tija yanasaidia vikundi ambavyo pia vinasaidia katika kujenga uchumi nchi. Baada ya kukamilisha tathimini na kufanya uchambuzi tutaleta bungeni ili muweze kutushauri ili tuweze kwenda vizuri."

Mbunge Kimei alitaka kujua kama Ofisi ya Rais-TAMISEMI haioni umuhimu wa kuziwezesha halmashauri kutenga maeneo mahususi kwa wajili ya wajasiliamali na kuyawekea miundombinu stahiki ili wanufaika wa fedha za asilimia 10 za halmashauri wakatumia maeneo hayo kufanya shughuli zao.

Pia alitaka kujua kama Wizara haioni haja ya kushirikiana na SIDO kwenye utoaji wa mikopo ya halmashauri hasa ikizingatia kuwa fedha zinazokopewa na SIDO zimekuwa zikirejeshwa Kwa zaidi ya asilimia 90.

Akijibu maswali hayo, Bashungwa alisema ni la Zima Halmashauri kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya uwekezaji na vikundi vinavyokopa asilimia 10 ya fedha za halmashauri kuwa Moja wa wanufaika wa maeneo hayo.

 "Mhe Mbunge(Charles Kimei) tukuhakikishie hili tumeboresha zaidi, tumeshaka na Wizara ya Kilimo kuangalia makundi ya vijana wasomi ambao wanapata asilimia 10 ya fedha za halmashauri zetu, majiji na manispaa namna bora ya kuweza kuwasaida maeneo mahususi kama haya. Hoja kama hii tunaifanyia kazi."

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.