• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Baraza la Biashara kuvutia sekta binafsi kuwekeza Dodoma

Imewekwa tarehe: July 9th, 2025

Na. Nancy Kivuyo, MTUMBA

Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri ameeleza kuwa Jiji la Dodoma linakua kwa kasi kutokana na uwezeshaji mkubwa unaofanywa na serikali katika miundombinu mbalimbali.

Aliyasema hayo katika kikao cha Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma kilichofanyika katika ukumbi mkubwa wa mikutano wa halmashauri katika Mji wa Mtumba.

Alisema kuwa anapongeza mwitikio wa sekta binafsi katika uwekezaji Dodoma. “Ninyi watu wa sekta binafsi nawapongeza sana kwa kufanya uwekezaji wenye tija ikiwemo hoteli kubwa za kisasa zipo hapa Dodoma, kumbi za mikutano na maduka makubwa” alisema Shekimweri ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

Aliongeza kuwa analipongeza Baraza la Biashara la Wilaya kwa kuweka sera za kuvutia wawekezaji. “Nalipongeza baraza hili kwa kuweka sera Madhubuti zinazofanya wawekezaji kuzikimbilia fursa zilizopo ndani ya Jiji letu la Dodoma. Tuendelee kufanya vizuri kwasababu hapa ndipo kitovu cha makao makuu ya nchi kilipo” aliongeza Shekimweri.

Alimalizia kwa kuwataarifu baraza kuwa Halmashauri ya Jiji la Dodoma inatekeleza mradi wa ufungaji kamera za usalama katika barabara zote kuu kwa lengo la kuimarisha ulinzi na usalama wa jiji lote. Ndugu zangu, halmashauri inatekeleza mradi wa ufungaji camera za usalama katika jiji letu na unatarajiwa kukamilika Agosti 30, 2025. Lengo la kuweka kamera hizi ni kuimarisha ulinzi na usalama wa jiji letu, kwa mantiki hiyo tunatarajia vitendo viovu na uhalifu havitakuwepo kwasababu tutaona kila kinachofanyika katika barabara zetu” alimaliza Shekimweri.

Kwa upande mwingine, Katibu wa Baraza la Biashara la Wilaya ya Dodoma, Dkt. Frederick Sagamiko alitoa rai kwa sekta binafsi kuendelea kushirikiana na serikali. “Naendelea kuwapongeza sekta binafsi lakini pia natoa rai tuendelee kushirikiana na halmashauri kuhakikisha maeneo ya maegesho kwa wafanyabiashara yanapatikana ili kuweka mazingira rafiki na wezeshi ya ufanyaji biashara. Halmashauri imekwisha tenga maeneo ya kibiashara ikiwemo Nala, Njedengwa, Iyumbu, Ihumwa, Msalaton a Hombolo. Maeneo haya ni mazuri kwa uwekezaji tuchangamkie fursa hizi” alisema Dkt. Sagamiko ambae pia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma.

Baraza la Biashara la Wilaya hukaa vikao kila robo kwa lengo la kujadili na kutengeneza mazingira rafiki ya ufanyaji biashara na kuvutia uwekezaji katika Jiji la Dodoma.  

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Shekimweri: Maafisa tarafa na Watendaji wa kata zingatieni Maadili na Uwajibikaji

    July 23, 2025
  • Serikali yatoa bilioni 298 kugharamia matibabu ya Kifua kikuu, Ukimwi na Malaria nchini

    July 22, 2025
  • Ushirikiano kati ya tanzania na canada waipaisha sekta ya afya

    July 21, 2025
  • Vifaa vya kupima maji vitumike mara baada ya mafunzo

    July 20, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.