• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Benki ya TDB yasaidia Tanzania kupambana na UVIKO-19

Imewekwa tarehe: October 16th, 2022

BENKI ya Biashara na Maendeleo ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (The Eastern and Southern African Trade and Development Bank - TDB) imeipatia Tanzania msaada wa Vifaa tiba vya Kujikinga na UVIKO -19 (PPE) vyenye thamani ya dola za Marekani 100,000 sawa na zaidi ya Shilingi milioni 238.

Akizungumza wakati akipokea msaada huo, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hamad Hassan Chande (Mb) amesema lengo la msaada huu, ni kuisaidia Serikali ya Tanzania kupitia Programu ya Dharura ya Kukabiliana na UVIKO-19 (TDB's COVID-19 Emergence Response Programme - CERP) ili kununua PPE kwa ajili ya kuwakinga wahudumu wa afya dhidi ya maambukizi ya janga la UVIKO-19.

Chande aliishukuru Benki ya TDB kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa msaada huo na kuongeza kuwa janga la UVIKO-19 ingawa kwa sasa kasi ya maambukizi yake yamepungua lakini lilipunguza kwa kiasi kikubwa kasi ya ukuaji wa uchumi, na kuathiri maisha ya watu duniani kote.

Aidha, Chande aliongeza kuwa pamoja na msaada huu, Benki ya TDB imekuwa mstari wa mbele katika kusaidia miradi mbalimbali ya kimkakati katika sekta mbalimbali za uchumi hapa nchini zikiwemo; sekta za miundombinu, nishati, viwanda, biashara ya kilimo pamoja na mafuta na gesi.

Awali akizungumza katika hala hiyo, Mtendaji wa Benki ya TDB wa Mahusiano na Uwekezaji, Mary Kamari alisema Benki hiyo imeamua kutoa msaada huo kutokana na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na Tanzania kama mwanahisa wa Benki hiyo. 

Aidha, Kamari aliongeza kuwa TDB itaendelea kuchangia katika sekta mbalimbali za maendeleo za washirika wake ikiwemo Tanzania.

Pia Kamishina Msaidizi wa Idara ya Fedha za nje Wizara ya Fedha na Mipango, James Msina alisema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mojawapo ya wanahisa wakubwa wanne (4) wenye hisa nyingi katka Benki ya TDB ambapo Tanzania ipo kwenye kundi la wanahisa daraja A.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.