• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Bilioni 183.63 kukamilisha maboma 6415 ya Sekta ya Afya na Elimu

Imewekwa tarehe: April 16th, 2024


OR-TAMISEMI

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 TAMISEMI imepanga kukamilisha ujenzi wa maboma 6,415 ya miundombinu ya sekta ya afya na elimu kwa gharama ya Shilingi bilioni 183.63.

Mchengerwa ameyasema hayo wakati akijibu hoja za wabunge waliochangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2024/25.

Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo, Shilingi bilioni 52.86 ni fedha za ruzuku ya serikali kuu na Shilingi bilioni 130.77 ni fedha zitokanazo na mapato ya ndani ya halmashauri na kuongeza kuwa, ukamilishaji wa maboma mengine utaendelea kadri ya upatikanaji wa fedha.

“Ninawalekeza makatibu tawala wa mikoa na wakurugenzi wa halmashauri kusimamia utekelezaji wa mwongozo wa uanzishaji wa maboma ili kuzuia uanzishaji wa maboma usiozingatia mwongozo na taratibu zilizopo” Mhe. Mchengerwa amesisitiza.

Mhe. Mchengerwa ameanisha kuwa, Novemba mwaka jana Ofisi ya Rais-TAMISEMI ilifanya tathmini na kubaini uwepo wa maboma 21,914 ya sekta ya elimu na afya yaliyoanzishwa bila kuzingatia mwongozo ambayo yanahitaji Shilingi bilioni 455.51 kwa ajili ya ukamilishaji.

Katika kukabiliana na changamoto hiyo Mhe. Mchengerwa amesema, Serikali katika kipindi cha miaka mitatu 2020/21-2023/24 imetumia Shilingi bilioni 255.55 kwa ajili ukamilishaji wa maboma ya elimu na afya, ambapo jumla ya maboma 1,795 ya zahanati yenye thamani ya Sh bilioni 89.75 na maboma 12,700 ya sekta ya elimu yenye thamani ya Shilingi bilioni 165.8 yamekamilishwa.

Aidha, amewaagiza makatibu tawala wa mikoa na wilaya kusimamia miongozo ya uanzishwaji wa maboma ya wananchi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu zilizopo ili kuwa na matumizi mazuri ya rasilimalifedha.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.