• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Bodi ya Mikopo ya serikali za mitaa kusukwa upya

Imewekwa tarehe: January 26th, 2023

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI imeanza kufanya marekekebisho na Maboresho ya Muundo wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa ili kuipa nguvu na uwezo wa kutoa Mikopo yenye tija na kufuatilia Marejesho.

Ameeleza hayo wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya USEMI ikipokea na kujadili taarifa ya Utendaji wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa na taarifa ya utendaji wa Shirika la Masoko ya Kariakoo kwa mwaka wa fedha 2021/23.

“Ni kweli Bodi ya Mikopo imekuwa na Sheria za zamani, kwahiyo tunaboresha sheria na kanuni kwa kuweka miongozo itakayosaidia bodi ya Mikopo kuwa na Uwezo wa kutoa Mikopo na kufuatilia Marejesho” ameeleza Dkt. Dugange

Dkt. Dugange amesema Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa itaongezewa nguvu ili kuiwezesha kuwa na Majukumu ambayo yako wazi ambapo yatazisaidia halmashauri kunufaika na Mikopo.

Amesema moja ya jukumu msingi la Bodi hiyo ni kuzikopesha Mamlaka za Serikali za mitaa kwa madhumuni ya kutekeleza miradi iliyolenga kuziongezea mapato, kuchochea shughuli za kiuchumi, kuongeza ajira na kuboesha utoaji wa huduma.

Wakati akijibu hoja zilizojitokeza kuhusu Utendaji wa Shirika la Masoko ya Kariakoo, Dkt. Dudange amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI tayari imetoa maelekezo kwa Makatibu Tawala Mikoa  kuhusu utaratibu na viwango vya kufuata wakati wa kujenga masoko ili kuepuka na kupambana na majanga ya moto ambayo yamekuwa yakitokea.

Aidha, Dkt. Dugange amesema ili kuimarisha Usafi katika masoko, Serikali ipo mbioni kuanza utaratibu wa kubadilisha taka ngumu kuwa nishati madala ambapo Mpango huo unaendelea kufanyiwa utafiti.

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Bora na Serikali za mitaa (USEMI), Jaffari A. Chaurembo amesema Maboresho ya Muundo wa Bodi ya Mikopo ya Serikali za Mitaa itasaidia halmashauri kufaidika na kuipa Uwezo bodi kufuatilia Marejesho.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.