• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Chanjo UVIKO-19 sasa ruksa kwa kila mwananchi

Imewekwa tarehe: August 13th, 2021

KATIBU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ametoa ruksa kwa wananchi wote wenye zaidi ya miaka 18 kupata huduma ya Chanjo, huku akielekeza makundi ya kipaumbele yapewe nafasi ya upendeleo wakati huduma hiyo ikiendelea.

Prof. Makubi ametoa agizo hilo leo wakati alipotembelea kituo cha kutoa huduma za chanjo ya COVID-19 kilichopo katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam.

“Chanjo zipo, na wananchi wote ambao wana umri kuanzia miaka 18 na kuendelea wanakaribishwa kwenye vituo vyetu ambavyo vipo zaidi ya 550 nchi nzima, ila ambacho tunaendelea kusisitiza, wakiwepo wazee na wale wenye magonjwa sugu watangulie kupewa huduma” amesema Prof. Makubi

Aliendelea kusema kuwa, wale ambao walikuwa wakisita kwenda kupata huduma ya Chanjo kwa kigezo cha kutokuwa kwenye makundi ya kipaumbele waondoe shaka na kwenda kupata huduma hiyo, kwani Serikali imeshajipanga kuwahudumia wananchi wa makundi yote.

Amesema kuwa, Serikali kupitia Wizara ya Afya leo imeanza kutoa huduma ya vyeti vya chanjo kwa njia ya elektroniki yenye ‘QR Code’ na kuachana na mfumo wa karatasi ngumu (hard copy) ili kudhibiti mtu yeyote anayedhamiria kufoji cheti ama kupata kwa njia ya udanganyifu.

“Tulipoanza hili zoezi tulikuwa tunatoa vyeti kwa njia ya karatasi ngumu, lakini sasa tunabadilisha kutoka kwenye mfumo wa karatasi ngumu (hard copy) kwenda kwenye mfumo wa elektroniki kupitia njia ya tehama na leo tumeshaanza hilo ” amesema.

Alisisitiza kuwa, kuanzia wiki ijayo wote walipewa cheti kwa njia ya karatasi ngumu (hard copy) wataitwa kwa njia ya simu katika maeneo waliopata huduma hiyo ya chanjo ili kupewa vyeti vilivyo kwenye mfumo wa elektroniki au watatumiwa kiunganishi (link) kwenye simu na kui print ili kupata kadi hiyo.

Naye, Kaimu Mkurugenzi wa TEHAMA Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Silvanus Ilomo amesema kuwa, baadhi ya watu waliopata huduma ya chanjo na kupewa vyeti vya karatasi ngumu (hard copy) leo tayari wameshaanza kubadilishiwa na kupewa vyeti vya elektroniki.

Akieleza sifa za Cheti hizo, Bw. Ilomo amesema kuwa, cheti hicho kina QR Codes ambayo imetengenezwa kwa njia ya mfumo uliotengenezwa na Wataalamu wa Wizara ya Afya, na popote utapoenda Duniani kwa kutumia cheti hicho inaonesha cheti hicho kimetolewa ma Wizara ya Afya Tanzania.

Alisisitiza kuwa tayari, Wizara ya Afya imeshatoa mafunzo kwa Wataalamu mbalimbali nchini wa namna ya kutumia mfumo huo wa TEHAMA ambao unakusanya taarifa za wananchi waliochanja ili kupata vyeti hivyo vya elektroniki.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.