• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Chanjo ya pili ya UVIKO-19 yazinduliwa Morogoro

Imewekwa tarehe: November 19th, 2022

WIZARA ya Afya kwa kutambua mchango wa jamii na viongozi wao katika kuongeza kasi ya utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 imezindua rasmi awamu ya pili ya kampeni hiyo Mkoani Morogoro.

Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mh. Alberto Msando wakati akizindua rasmi awamu ya pili ya utoaji wa huduma ya chanjo ya UVIKO-19 iliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri Mkoa wa Morogoro.

"Sisi kama Serikali tumeruhusu wananchi wetu wachanje kwa hiyari kwa kuwa chanjo hii haina madhara yoyote katika mwili wa binadamu na mimi nimechanja na niko salama." Amesema Msando

Msando amewatahadharisha wananchi kuacha tabia ya kubweteka kwakuwa wengine hawasikii habari za UVIKO-19 lakini ugonjwa huo upo tuendelee kuchukua tahadhari, pia tujitokeze kupata chanjo ya ugonjwa huo ili wote tuendelee kuwa salama.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Huduma za Kinga-Wizara ya Afya Dkt. Beatrice Mutayoba, amesema kila chanjo zinapoingia nchini zinapimwa ili kujiridhisha na usalama wake kwakuwa chanjo hizo zinakwenda kutumika kwa watanzania.

"Hata tukikumbuka wakati wa uzinduzi wa awamu ya kwanza kwa utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alikuwa wa kwanza kupata chanjo hiyo hivyo chanjo hii ni salama." Amesema Dkt. Mutayoba

Naye, Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewashukuru wananchi wa Mkoa wa Morogoro kwa kujitokeza kupata huduma hiyo ya chanjo kwakuwa tayari wamepata elimu
na kujua chanjo hiyo ni Salama.

"Mimi nimechanja tarehe 24 Julai, 2021 na hadi sasa niko vizuri na hata nyumbani pia niko vizuri, chanjo hii haina madhara yeyote ni kama chanjo nyingine kwa kuwa lengo lake ni kujikinga na maambukizi ya UVIKO-19." Amesema Msigwa

Mwisho, Mratibu wa Huduma za Chanjo Mkoa wa Morogoro Masumbuko ljembya amesema Mkoa huo ulianza rasmi kutoa chanjo ya UVIKO-19 Agosti 3, 2021 hadi kufikia Octoba 31,
2022 wamefikia asilimia 66.2 ya utoaji wa chanjo hiyo kwa wenye umri zaidi ya miaka 18.



Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.