• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Chongolo anena kuhusu ujenzi wa mabweni Longido

Imewekwa tarehe: October 18th, 2021

KATIBU MKUU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo ameitaka serikali kuendelea kujenga mabweni katika wilaya ya Longido ikiwa ni mkakati wa kuiinua wilaya hiyo katika sekta ya elimu kutokana na umbali uliopo kati ya kijiji kimoja na kingine unaokadiriwa kuwa ni wastani wa kilometa 60 na uwepo wa wanyama wakali.

Katibu Mkuu Ndugu Chongolo ametoa maelekezo hayo leo tarehe 18 Oktoba, 2021 katika ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Mhe. Samia Suluhu Hassan Mkoani Arusha wilayani Longido.

Katibu Mkuu Ndg. Chongolo akifafanua maelekezo hayo, ameeleza kuwa, kuna shule ya msingi ipo kijiji cha Irichang'isapukini kata ya Gerairungwa wilayani Longido, iliyopo umbali wa kilometa 130 kutoka Makao Makuu ya Wilaya, imeshakamilika kujengwa na mabweni yameshajengwa, wananchi wanasubiri idhini kutoka serikalini ili iingizwe kwenye bajeti ya shule za bweni.

Hivyo, Katibu Mkuu Ndg. Chongolo, ameitaka Serikali kuharakisha kuiingiza shule hiyo kwenye mpango wa bajeti wa shule za bweni, ili ianze kupokea wanafunzi wa bweni kama inavyofanyika katika shule za msingi za Sinya, Longido na Ketumbeine ambapo zote hizi zinahudumiwa na serikali kwa asilimia 100.

Aidha, katika hatua nyingine, Katibu Mkuu Ndg. Chongolo kwa niaba ya WanaLongido na Chama Cha Mapinduzi, amemshukuru Mhe. Rais Samia kwa uamuzi wa kumalizia ujenzi wa kipande cha barabara chenye kilometa 44 kwa kiwango cha lami kutoka Ererai mpaka Kamwanga kupitia maeneo ya ormorog, Lelang'wa, Irkaswa, Kitendedi na maeneo mengine, ambapo kipande hicho kitakamilisha barabara ya mzunguko (Ringroad) kuuzunguka Mlima Kilimanjaro.

Chanzo: Afisa Habari, Ofisi ya Katibu Mkuu - CCM

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.