• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

DART watakiwa kuanza usanifu wa huduma majiji makubwa

Imewekwa tarehe: May 15th, 2023

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Deogratius Ndejembi ametoa rai kwa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuanza usanifu wa huduma hiyo kwa ajili ya majiji mengine makubwa likiwepo jiji la Dodoma

Ndejembi aliyasema hayo  jijini Dodoma wakati wa kufungua mafunzo elekezi kwa waandishi wa habari juu ya utekelezaji wa mradi wa DART.

Alisema kutokana na majukumu ya wakala huyo ni vyema kuanza mchakato wa kufanya usanifu wa huduma hiyo katika majiji makubwa likiwemo jiji la Dodoma.

“Rai yangu kwa DART ianze kuangalia maenoe mengine kama jiji la Dodoma, mfano kwa sasa TANROADS inaanza ujenzi wa njia nne kutoka Mji wa Serikali hadi katikati ya jiji, hivyo DART mzungumze na TARURA na TANROADS ili kwenye mipango yao waweze kuweka eneo la akiba katikati ya barabara”amesema NdejembiAmeendelea kufafanua kua hatua ya kusanifu ikianza mapema itaondoa adha ya kuvunja vunja na kulipa fidia pindi upanuzi wa huduma hii utakapofika kwenye majiji makubwa .

Aidha, Ndejembi amesema Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Jiji la Dar es Salaam ili kuhakikisha wananchi wanafika katika shughuli zao kwa haraka.

Akielezea utekulezaji wa Mradi wa DART kwa Jiji la Dar-es-salaam Ndejembi amesema katika awamu ya kwanza ya mradi Serikali imetumia dola za Marekani milioni 235 wakati awamu ya pili Serikali imetenga dola za Marekani milioni 141 na utekelezaji wake umefikia asilimia 96.

Ndejembi amesema katika awamu ya tatu ya kutoka mjini hadi Gongo la Mboto, Serikali imetenga dola za Marekani milioni 148 na mkandarasi yuko eneo la kazi kuendelea na utekelezaji wa mradi.

Awali, Mkurugenzi wa Utawala, Rasilimali Watu wa DART, Dkt Eliphas Mollel alisema Wakala imesaidia sana kuondoa msongamano wa abiria na kuwa kumekuwa na ongezeko la kusafirisha abiria kutoka abiria 50,000 hadi kufikia abiria 200,000 kwa kila siku.


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.