• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Dawa za Kinga ya TB kupunguza maambukizi

Imewekwa tarehe: December 6th, 2022

MATUMIZI ya dawa za muda mfupi ambayo ni mchanganyiko wa dawa mbili (Isoniazid na Rifampicin) zitasaidia sana kupunguza watu kuugua kifua kikuu nchini.

Hayo yamesemwa na Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti Kifua kikuu na Ukoma nchini Dkt. Riziki Kisonga katika hafla ya kutangaza matokeo ya ufuasi wa Dawa za Kifua kikuu (TB) kupitia mradi wa ASCENT - KNCV.

Dkt. Kisonga amesema ili tuweze kupunguza ugonjwa wa kifua kikuu usiweze kuongezeka na kusambaa kwa watu wengine lazima tuzuie wale ambao wana hatari ya kupata ugonjwa huo wasiambukizwe.

"Makundi yaliyo katika hatari ya kuugua ugonjwa huu ni pamoja na watu wanaoishi na Virusi vya UKIMWI, wanaotumia dawa za kulevya na makundi ya watu wanaofanya shughuli za uchimbaji, wazee, na watu wanaoishi na wagonjwa wa Kifua kikuu" amesema Dkt. Kisonga

Pia Dkt. Kisonga amesema dawa hizo tumekuwa tukizitumia nchini hazina madhara makubwa na matumizi yake zitakuwa zinatumika mara moja kwa wiki kwa muda wa miezi mitatu badala ya kutumia kila siku kwa muda wa miezi sita

Aidha, Dkt Kisonga ametoa rai kwa jamii kuhamasika pale ambapo nchi itaanzisha matumizi ya dawa hizo, lengo kubwa ni kuhakikisha tunapunguza ugonjwa wa Kifua kikuu kwani huwezi kuuondoa ugonjwa huo kama hutakuwa na njia mbalimbali za kuutibu.

Kwa upande wake meneja mradi wa ASCENT - KNCV Baraka Onjare amesema teknolojia ya ufuasi wa dawa imeleta matokeo makubwa kwa kupunguza wagonjwa wanao toroka matibabu mwanzoni.

"Box hizi za smart pill zina leta mawasiliano ya karibu kati ya mtoa huduma na mgonjwa kitu ambacho kina ongeza ufuatiliaji wa wagonjwa, pia tumeona wateja wamependa teknolojia hii kwani ina wakumbusha muda wa kunywa dawa kwa njia ya alamu na meseji" amesema Onjare


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.