• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

DC Dodoma apongeza usafi Soko la Job Ndugai

Imewekwa tarehe: August 11th, 2021

Na. Getruda Shomi, DODOMA

MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri (aliyevaa koti) ametoa pongezi kwa uongozi wa Soko la Job Ndugai kwa kusimamia vizuri usafi wa soko, mandhari na usalama kwa kufunga kamera za usalama ili kuhakikisha ulinzi na usalama wa wateja,  wafanyabiashara na biashara zao.

Ametoa pongezi hizo wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali na ziara iliyomfikisha Soko Kuu la Job Ndugai.

Akikagua mradi huo Shekimweri ametoa ushauri kwa Meneja wa Soko hilo kuangalia namna ya kuongeza mapato. Alisema kuwa soko hilo liangalie jinsi ya kuwavutia wafanyabiashara wengi zaidi kuweka biashara zao katika soko hilo ambapo itasaidia kukuza mapato ya soko hilo.

Licha ya pongezi hizo Shekimweri amesema kuwa eneo hilo bado halijachangamka kibiashara. Alishauri kuwa wafanyabiashara waendelee kushawishiwa ili kwenda kuweka biashara zao. Aidha, aliwataka wafanyabiashara wa soko hilo kuhakikisha wanachukua tahadhari zote dhidi ya UVIKO-19 kwa kuweka maji tiririka, sabuni na kuvaa barakoa muda wote wawapo eneo la soko. Aliwasisitiza makundi vipaumbele vya chanjo wajitokeze kuchanja. Wafanyabiashara wasiofuata agizo hilo wasiruhusiwe kufanya biashara kwenye soko hilo, aliagiza.

Kwa upande wake, Meneja wa Soko Kuu la Job Ndugai, Fransic Amour katika risala yake aliainisha changamoto zinazolikabili soko hilo kuwa ni mwitikio mdogo wa wafanyabiashara. Mwitikio mdogo umepelekea vizimba vingi kuwa wazi na mapato kupungua kulingana na mategemeo.

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.