• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Dkt. Mollel aushukuru uongozi wa Tokushukai Medical Group

Imewekwa tarehe: March 13th, 2023

NAIBU Waziri wa Afya, Dkt Godwin Mollel ameushukuru uongozi wa Shirika la afya la Japan, TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP kwa kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Hospitali ya Benjamin Mkapa kuboresha upatikanaji wa huduma kwa wananchi.

Dkt. Mollel ametoa pongezi hizo alipokutana na uongozi wa Shirika hilo kutoka Japan katika ofisi za Wizara ya Afya Jijini Dodoma.

"Ninawashukuru kwa namna mlivyoungana na Hospitali ya Benjamin Mkapa na Chuo kikuu cha Dodoma, nchi ya Japani imekuwa ikisaidia katika kuboresha Sekta ya Afya kwa kuhakikisha huduma zinapatikana hasa katika matibabu ya figo. " Alisema Mollel

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali ya Benjamin Mkapa Dkt. Alphonce Chandika ameeleza jinsi TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP ilivyoisaidia Hospitali ya Benjamin Mkapa.

"Hospitali ya Benjamin Mkapa imejengewa uwezo wa kufanya huduma ya upandikizaji figo na Shirika hili mpaka sasa tunajivunia kwa kupandikiza wenyewe hii ni kwasababu ya TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP " alisema Dkt Chandika

Aidha mwenyekiti wa wa TOKUSHUKAI MEDICAL GROUP Prof. Higashiue Shinichi ameeleza jinsi walivyo pokelewa na taasisi hizi mbili UDOM na BMH na kuahidi kuendelea kushirikiana na Serikali ya Tanzania katika kuboresha Sekta ya Afya.

"Nasi tunashukuru kwa tulivyo pokelewa, kama tusingekubaliwa kutoa huduma hii leo tusinge kuwa hapa tukifurahia kuadhi

Matangazo

  • Miaka miwili ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Miaka miwili ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Miaka miwili ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Miaka miwili ya Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan March 19, 2023
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Maboresho makubwa sekta ya Afya Dodoma

    March 23, 2023
  • Miradi ya Mapato ya ndani yaanza kutoa matunda

    March 23, 2023
  • Agizo la Rais kuhusu Machinga latimia Dodoma

    March 22, 2023
  • Upatikanaji dawa, vifaa tiba waimarika

    March 21, 2023
  • Angalia zote

Video

Bwawa la Mtera kuhudumia Dodoma
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    3 CDA Street

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.