• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Dodoma Jiji FC kujichimbia Arusha kujiwinda na duru ya pili ya NBC PL

Imewekwa tarehe: January 29th, 2025

Na. Mussa Richard, DODOMA

Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji FC, imepanga kwenda kukita kambi jijini Arusha ili kujiandaa na mbilinge mbilinge za duru ya pili ya Ligu kuu ya NBC Tanzania bara, ambapo imepanga kucheza michezo miwili ya kirafiki kujiandaa na michezo ya Ligi kuu, Dodoma Jiji itaanza kuzisaka alama tatu mbele ya Pamba Jiji katika uwanja wa Jamhuri Dodoma Februari 05, 2025.

Akizungumzia kambi hiyo Mtendaji Mkuu wa Dodoma Jiji FC, Johnson Fourtnatus alisema “Tumekubaliana kwenda kuweka kambi mkoani Arusha kwa muda wa siku sita, na tutacheza michezo miwili ya kirafiki na timu zinazoshiriki Ligi daraja la kwanza Tanzania bara, tukianzia kesho ambapo tutacheza na Mbuni FC, na tarehe 31 tutacheza mchezo wa mwisho wa kirafiki kukamilisha kambi yetu na tarehe 2 Februari, 2025 timu itarudi Dodoma kuendelea na kambi kuelekea mchezo dhidi ya Pamba Jiji FC".

Katika hatua nyingine Fourtnatus akaweka wazi mpango mkakati wa klabu ya Dodoma Jiji FC, katika duru ya pili ya Ligi kuu Tanzania bara. “Mpango wetu ni kuhakikisha timu inaendelea kubaki kwenye Ligi kwa msimu huu na pia kuhakikisha tunatoa burudani kwa wapenzi, mashabiki na wana Dodoma kwa ujumla kwa kucheza mpira mzuri na wenye matokeo chanya. Katika kufanikisha hilo katika dirisha dogo la usajili tumefanya usajili wa wachezaji wawili ambao ni beki wa kati Abdi Banda na Mukrim Issa ambaye tumemchukua kwa mkopo kutoka Singida Black Stars” alisema Fourtnatus.

Nae, Nahodha wa Dodoma Jiji FC, Augustin Nsata alisema “sisi kama wachezaji tupo tayali kuipambania nembo ya klabu na tumejiandaa vizuri na tunajua tunaenda kubabiliana na michezo migumu kutoka kwa wapinzani wetu, na tunamshukuru Mungu mpaka sasa hakuna majeruhi kwenye timu kila mchezaji yupo tayari kuipambania timu na kutimiza majuku yake uwanjani”.

Dodoma Jiji FC, ipo nafasi ya tisa katika msimamo wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara ikicheza michezo 16, ikikusanya alama 19 ikishinda michezo mitano, ikipoteza michezo saba, ikitoka sare michezo minne, ikifunga mabao 16, ikiruhusu mabao 21 ikiwa na hasi tano.

Matangazo

  • TANGAZO LA MABADILIKO YA TAREHE YA USAHILI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA WASIMAMIZI JIMBO LA MTUMBA October 03, 2025
  • MAJINA YA WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA- DODOMA MJINI October 03, 2025
  • TANGAZO LA MAJINA YA MAKARANI WAOGOZAJI WAPIGA KURA October 03, 2025
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Rc Senyamule awasihi wawekezaji sekta binafsi kuwekeza Dodoma

    October 03, 2025
  • CCTV kamera mwarobaini wa wavunjifu wa sheria jiji la Dodoma

    October 02, 2025
  • Wadau wa afya wapongezwa kwa juhudi zakudhibiti vifo vya wajawazito

    October 01, 2025
  • UONGOZI WA KLABU YA MICHEZO OFISI YA MKUU WA MKOA WA DODOMA WAKUTANA NA RAS KAZUNGU

    September 29, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.