• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Dodoma yapokea Tani 88 za Sukari

Imewekwa tarehe: March 2nd, 2024

MKUU wa Dodoma umepokea jumla ya Tani 88 za sukari kupitia kwa Mawakala wake Aidan Gulamali na Mohamed Enterprises (MO)  hali iliyomfanya Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Rosemary Senyamule kufanya ziara ya kushtukiza ili kutoa maelekezo ya Serikali juu ya uuzaji wa sukari kwa wafanyabiashara wa Mkoa wa Dodoma.

Akiwa kwenye duka la Gulamali lililopo eneo la Majengo sokoni Jijini Dodoma, Senyamule amesema, “Rais ameiona sababu ya kutafuta mbadala wa sukari kwa kumruhusu kutoa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi. Sukari hii hailipiwi kodi Wala VAT ili watanzania waipate kwa gharama nafuu. Wapo Mawakala maalumu wanaotumika kupokea na kusambaza sukari.”

Aidha, Mkuu wa Mkoa ametoa maelekezo ya bei elekezi ya kuuza sukari na kusisistiza Sheria itachukuliwa kwa yeyote atakayebainika kukiuka maelekezo hayo ya Serikali.

“Maelekezo ya Serikali ni kwamba sukari hii iuzwe kwa mgawanyo kila mmoja apate. Iunzwe kuanzia shilingi 2800 mpaka 3000 kwa kilo moja. Kuuza zaidi ya bei elekezi ni kinyume cha Sheria na tutawachulia hatua wale wote watakaobainika kuuza kinyume na maelekezo. Tuifanye sukari kuwa huduma nzuri kwa wananchi” amesisitiza RC Senyamule.

Pia amesema kuna Maafisa kila eneo la Mkoa wa Dodoma watakaofanya ufuatiliaji ili kuhakikisha sukari hii inauzwa ndani ya Mkoa wa Dodoma na si vinginevyo. Hii ni kufanikisha sukari hii inawanufaisha Wanadodoma kwani tayari kuna wafanyabiashara 17 wameshakamatwa kwa kukiuka maagizo.

Mawakala Gulamali na Mohamed Enterprises ni miongoni mwa Mawakala watano wanaohusika na upokeaji pamoja na usambazaji wa sukari Mkoa wa Dodoma ambao leo wamepokea Tani 58 na 30 na kufanya jumla ya Tani 88 ambazo zikigawanywa vizuri na kwa usawa zitawezesha wananchi wote wa Dodoma kupata bidhaa hiyo adhim

Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.