Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera amewataka wananchi waishio katika Jimbo la uchaguzi la Dodoma mjini kujitokeza kwenye vituo cha kuandikisha wapiga kura ili kutekeleza haki yao ya kikatiba.
Dkt. Mahera ameyasema hayo leo alipotembelea kituo cha kuandikisha wapiga kura kilichopo kata ya Kilimani jijini hapa.
"Hii ni fursa ingine kwa wananchi ambao hawakujiandikisha, kufanya hivyo sasa" amesema. Aidha, amesisitiza kuwa wale wote ambao wamehama katika vituo vyao vya awali, wananafasi ya kuboresha taarifa zao.
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.