Serikali imeongeza siku tatu (3) kwenye zoezi la Wananchi kujiandikisha kwenye Daftari la Orodha ya Wapiga kura lililokuwa lifikie tamati tarehe 14 Oktoba 2019. Kwa ongezeko hilo sasa zoezi hilo litafikia kikomo tarehe 17 Oktoba 2019.
Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Selemani Jafo (Mb).
Chanzo: @ortamisemi
1 CDA Street, 40477
Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA
Simu: +255 26 232 4817
Simu ya kiganjani:
Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz
Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.