• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Halmashauri ya Jiji la Dodoma Yatoa Mafunzo ya Malisho ya Mifugo

Imewekwa tarehe: August 12th, 2025

Na. Rehema Kiyumbi, DODOMA

Afisa Mifugo katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma Leonia Msuya ameendelea kutoa elimu kwa wakulima na wafugaji namna ya kulisha na kutunza mifugo yao kwa maendeleo ya kiuchumi.  

Aliyasema hayo wakati akiwa katika vipando vya Halmashauri ya Jiji la Dodoma katika maadhimisho ya kimataifa Nanenane. ’’Tumejiandaa kutoa elimu na kuonesha maonesho ya malisho ambayo ni chakula cha mifugo kwa sababu yamepanuka sana wananchi na wahamiaji wamekuwa wengi ambapo kusababisha malisho kupungua. Kwa mwaka huu tumeandaa vipando vitatu ambavyo ni malisho ya mikunde, nyasi na magugu (sumu) ambapo huchanganywa ili ng’ombe kupata virutubisho ambavyo ni protini, mafuta na wanga kama sisi binadamu,” alisema Msuya. 

Alisema kuwa aina ya malisho ambayo ni sumu huchangia kutoa elimu kwa wakulima na ni moja ya kutunza mazingira. ’’Sumu ni aina ya malisho kama mihogo na nyanya tumefanya makusudi ili mkulima na mfugaji kuweza kuyaondoa kwenye shamba lake. Pia, mkulima na mfugaji wakiandaa mazingira vizuri ya kutengeneza malisho na kuyahifadhi ndani kutumika kwa mwaka mzima au kuandaa shamba ili kuepusha mifugo kuzurura ovyo mitaani kutafuta chakula,” alisema Msuya.

Aliendelea kutoa elimu kuwa watu wengi hawafahamu majani ya mifugo hupandwa. “Watu wengi wamezoea majani ya mifugo hayapandwi, ukweli ni kwamba majani hupandwa na mnyama huweza kula majani makavu ili kumpatia virutubisho vya ziada kama madini kwa sababu baadhi ya majani mabichi hukosa virutubisho. Pia, ni muhimu kwa sababu inamsaidia mfugaji kujua idadi ya mifugo yake inakula malisho kiasi gani kwa siku na kulima majani kiasi gani. Moja ya chakula kizuri kwa nguruwe na kuku ambapo wafugaji wengi hawajui ni Alfa Alfa,” alieleza Msuya.    

Alimaliza kwa kuwashauri wananchi hasa wakulima na wafugaji wa vyakula vya mifugo kwa maendeleo ya jamii. “Tunawakaribisha ili muweza kujifunza namna nzuri ya kuandaa mchanganyo wa malisho na kufahamu majani tofauti tofauti yanayoingiliana kwa mifugo tofauti kama kuku, nguruwe, ng’ombe, bata, sungura, pamoja na vyakula vingine vingi mifugo kupata virutubisho,” alimaliza Msuya.

Mwisho 

Imehaririwa na Samira Geregeza




Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Serikali yaboresha mazingira ya kufundishia na kujifunza- Mwambene

    August 18, 2025
  • Afisa elimu mkoa wa Dodoma akagua maandalizi ya Juma la elimu ya watu wazima

    August 17, 2025
  • Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma watangaziwa fursa za biashara nchini indonesia

    August 16, 2025
  • Wafugaji waaswa kufuga kwa kuzingatia uwezo wa malisho ili kupata tija

    August 15, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.