• Wasiliana nasi |
    • Maswali na majibu |
    • Baruapepe - Watumishi |
    • eVibali |
    • Malalamiko |
Dodoma City Council
Dodoma City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Dodoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ujenzi
      • Mazingira na Udhibiti wa Taka ngumu
    • Vitengo
      • Sheria na Usalama
      • Mkaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuji
    • Ward
  • Fursa za Uwekezaji
    • Maeneo ya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Mji wa Serikali
    • Kwa nini uwekeze Dodoma?
  • Huduma Zetu
    • Maendeleo ya jamii
    • Elimu
    • Miundombinu
    • Mazingira
    • Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mipango miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Kudhitibi UKIMWI
      • Maadili
    • Kamati zingine/Bodi/Uwakilishi
    • Ratiba
      • Vikao vya Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Mpango Mkakati
    • Fomu
    • Jifunze Nyumbani
    • Mpango Kabambe
    • Jarida
    • Asemavyo Mahia - Afya na Mazingira
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio
  • City TV

Jiji la Dodoma lapongezwa kwa ubunifu,

Imewekwa tarehe: November 26th, 2020

MENEJIMENTI ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa ubunifu wake kwa kutoka ofisini na kuwafuata wateja wa viwanja katika maeneo yao ya kazi kuwasogezea huduma hiyo na kuwaepusha na vishoka.

Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa huduma za Sheria wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mwantumu Salim alipokuwa akizungumza na timu ya kimkakati ya masoko kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma ilipomtembelea ofisini kwake kumshawishi kununua kiwanja jijini Dodoma.

Salim alisema kuwa zoezi la kuwafuata wanunuzi wa viwanja katika maeneo yao ya kazi ni hatua nzuri na jambo jema. “Kwenye kutoa huduma, ukiweza kumfikia mteja wako ni faraja sana kwake. Nasema ni faraja kwa mteja kwa sababu kwanza unakuwa umemlinda dhidi ya vishoka, lakini pia unakuwa umemsaidia kuokoa muda ambao angeacha kutekeleza majukumu yake na kufuata huduma kwako.  Baada ya nyie kuja ofisini kwangu nina hakika kiwanja nitapata, na kama mngekuwa mnatufuata siku zote tungekuwa tumeshanunua viwanja siku nyingi” alisema Salim.

Mkurugenzi huyo alitoa wito kwa taasisi za serikali kubadilisha mtazamo katika utoaji huduma na kuwa wa kibiashara. “Umefika wakati sasa kwa taasisi za serikali tubadilike katika utoaji huduma na tuwe ‘business oriented’, kama Halmashauri tunatakiwa kuuza viwanja, tuuze viwanja ili kukusanya fedha kwa ajili ya kutoa huduma za kijamii. Nina hakika hamtajutia muda huu mlioutumia, nina hakika mtarudi tena kwa huduma hii” alisema Salim.

Awali Afisa Ardhi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Nuru Mariki alisema kuwa Halmashauri hiyo imepima viwanja vya matumizi mbalimbali kwa ajili ya wananchi na wawekezaji. “Halmashauri ya Jiji imepima viwanja vya makazi, makazi na biashara na huduma za viwanda katika maeneo mbalimbali. Viwanja hivyo vipo Halmashauri vinauzwa na hakuna urasimu wa aina yoyote”. Aidha, aliongeza kuwa Halmashauri hiyo imetenga eneo maalum kwa ajili ya huduma ya viwanda katika Kata ya Nala (Nala Industrial hub) iliwa ni muitikio wa maelekezo ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli inayosisitiza ujenzi wa uchumi wa viwanda” alisema Maliki.

Halmashauri ya Jiji la Dodoma imeweka kambi ya wiki nzima jijini Dar es Salaam kwa lengo la kuwasogezea huduma ya viwanja wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa huduma za Sheria wa Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mwantumu Salim (katikati) akisikiliza maelezo ya Mpango Kabambe wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kutoka kwa Afisa Ardhi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Nuru Maliki (kushoto), kulia ni Afisa Ushirika katika Jiji la Dodoma Basley Kilave


Matangazo

  • MKUTANO WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI January 30, 2025
  • KITUO CHA AFYA ILAZO KIMEANZA KUTOA HUDUMA January 13, 2025
  • HOSPITALI YA JIJI LA DODOMA IMEANZA KUTOA HUDUMA ZA AFYA January 12, 2025
  • TANGAZO LA UUZWAJI WA VIWANJA KIKOMBO December 03, 2024
  • Angalia zote

Habari za hivi punde

  • Barabara ya Lami ya Kilometa 6 yawanufaisha wakazi wa Kata ya Miyuji

    April 23, 2025
  • Huduma ya Chakula na Lishe yapandisha ufaulu Shule ya Sekondari Nala

    April 22, 2025
  • Mradi wa Maji Nala wa Bil. 1.3, mkombozi kwa wananchi

    April 22, 2025
  • Milioni 500 kukamilisha mradi wa Kituo cha Afya Kizota

    April 22, 2025
  • Angalia zote

Video

Watendaji Kata Wilaya ya Dodoma watakiwa kusimamia maswala ya Lishe
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Historia ya Manispaa
  • Wasifu wa Manispaa
  • Kata na Madiwani
  • Mji wa Serikali
  • Orodha ya Madiwani
  • Mpango Mkakati wa Halmashauri (SP)
  • Kwanini uwekeze Dodoma?
  • Zabuni za Wakala wa Ukusanyaji Mapato
  • Zabuni ya Usafi wa Mazingira

Viunganishi Linganifu

  • Msalato Sekondari
  • Mkoa wa Dodoma
  • OR-TAMISEMI
  • Utumishi
  • Chuo Kikuu Dodoma (UDOM)
  • Bunge

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

free HitCounter

Ramani elekezi

Wasiliana nasi

    1 CDA Street, 40477

    Anuani ya posta: 1249, DODOMA, TANZANIA

    Simu: +255 26 232 4817

    Simu ya kiganjani:

    Baruapepe: cd@dodomacc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Copyright ©2017 The City Council of Dodoma. All rights reserved.